Shetani wa Yanga Apagawa na Simba kuelekea mchezo wa Derby.
Sign in to join the conversation
Huyu jamaa kumbe ni mzimaaaaa🤭
Wewe sio shetwani tena wewe ni malaika
Usiogope shetani tunakupiga mbili2
Ninyi mkaweka hela kwenye mfuko wa shati, mkamchukua Selemani ,na kumbeza Mo kuwa pesa ziko benki hazina KAZI. Sasa mmeona hela zinavyofanya KAZI???
Sasa Kagera Sugar hana mechi iliyoshinda mpaka sasa ,,, Timu inaongelewa wachezaji wanne tu
Kumbe Kuna muda huyu jamaa anakuwaga sawa eeeeh!!!
Sahv mbwa umekua..ktk mashabik wote ww umeongea ukweli
Asant umeongea ukwel big up
Leo umeongea ukwl mwana yanga anaeipenda simba anipe like from Zanzibar
😂😂😂kichwa boga leo kaongea ukweli😅😅😅
Emu radia Jina la kocha wenu😅
Game inaisha 3--1
Uyu kaongea kimpira zaidi
Huyu jamaa kumbe ni mzima Ila anajitoa akili...ila kumbe akisema ache kapepe ni mtu na nusu
Aisee kumbe zimo huyu jamaa
Kumbe huyu jamaa anakuwaga na ajili timamau etyi. Ila kumbe yanga imefanya watu mazuzu
Leo umesema
Saa mbovu atimae kaongea ukweli
Kumbe😂😂😂 leo umeamua kutumia akili
Ulikuw mbele ya mda