Soultrob Soultrob
Home Videos Search Liked Videos Bookmarked Inbox Notifications Sign In
Get it on Google Play Log In
Soultrob
0:00
3:01
3:01

uwaminifu #videoviral #maishahalisi #goviral

Comedy Entertainment
ADVERTISEMENT
Comments 100 diane_thompson: Kiukweli usiyombe yakukute mana inauma sana tena inauma san…
More Like This
WHO ARE YOU ?_|Ep10| 17:22
WHO ARE YOU ?_|Ep10|
Entertainment 6.2k 0
DADA WA KAZI Full Episode [ 48 ] 33:01
DADA WA KAZI Full Episode [ 48 ]
Entertainment 4.5k 0
Baba Olivia Season 2 Episode 6 23:23
Baba Olivia Season 2 Episode 6
Entertainment 3.9k 0
MONALISA [ 73 ] ❣️ Love Story #monalisa  #love #dontatv #penzilamtotowaboss 43:40
MONALISA [ 73 ] ❣️ Love Story #monalisa #love #dontatv #penzilamtotowaboss
Entertainment 9.2k 0
Mstaafu Jakaya Kikwete kwenye Shughuli 0:59
Mstaafu Jakaya Kikwete kwenye Shughuli
Entertainment 1.4k 0
BEHIND THE SMILE 🖤[57]#sandraofficial #clamvevo #kiparabrand 24:29
BEHIND THE SMILE 🖤[57]#sandraofficial #clamvevo #kiparabrand
Entertainment 14.2k 0
SA 🇿🇦 + ZIM 🇿🇼,Two Countries, One Dance Craze, 0:24
SA 🇿🇦 + ZIM 🇿🇼,Two Countries, One Dance Craze,
Entertainment 281 0
Mike 28 Kupinda Mumusha kwanetsa 1:00:30
Mike 28 Kupinda Mumusha kwanetsa
Entertainment 1.4k 0
You've reached the end

Comments 100

Sign in to join the conversation

Sign in
D
diane_thompson 1 week, 5 days ago

Kiukweli usiyombe yakukute mana inauma sana tena inauma sana😅😅😅

advika_tara
advika_tara 1 week, 5 days ago

Maisha ya kweli hayo ujue yapo Mungu atusadie wote katika upambanaji wetu🎉🎉

C
crystal_ramirez 1 week, 5 days ago

Daaah umetugusa wapambanaji wallahi.tunapitia mengi sana.mtu unatumia hella ziba apo anaowa watoto wanalala na njaa asante bro umenigusa wallahi allah atakulipa 🙏🙏🙏🙏🙏

I
irmela_bärer 1 week, 4 days ago

Umetugusa wapambanaji yaani wengi tunaumizwa na familia zetu Daaaah inauma sana kiukweri 😢😢

K
kristin.ford 1 week, 5 days ago

Mimi yalinikuta haya nimeishi Wingereza miaka 8 nilikua natuma pesa nijengewe nyumba uzuri kiwanja nilinunua mwenye lakini siku niliporudi sikukuta nyumba wala kibanda cha nyasi ndugu zetu wanaturudisha nyuma sana 😢

L
lucy_greenwood 1 week, 5 days ago

Ni kweli kabisa yashanikutaga haya kupitia shemeji yangu.

C
crystal_ramirez 1 week, 5 days ago

Mungu tusaidie tuliopo gulf maana hela za huku ngumu halafu mtu anakufanyia ufedhuli dah sio poa😢😢

J
joanne.rose 1 week, 5 days ago

Yalitukita tumelia tukalia na tumenyamaza,na kwakuwa tulichagua fungu la kushinda hivyo hatukuipa nafasi kukata tamaa tukaanza safari upya na bado tunaonekana wachoyo na wabinafsi lakini tumeamua kuendelea mbele

S
stéphane_lagarde 1 week, 5 days ago

Bora wamekuachia uhai wanakuroga kabisa usirudi

dustin_olsen
dustin_olsen 1 week, 5 days ago

Hii iko sawa funzo kwa sote kaka

jamesstream97
jamesstream97 1 week, 5 days ago

Imauma sana kaka umepiga kwenye mshono 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢😢

H
hakanhenk747 1 week, 5 days ago

Dha! Inauma sana unatuma pesa watu wanatumia Mungu atulinde wapambanaji😂😂

S
stéphane_lagarde 1 week, 5 days ago

Kiuhalisia haya yapo n maumivu makali mno upelekea wengne kupotza akili na kua chizi😢

V
vasudhamalhotra949 1 week, 5 days ago

Kumbe na huyu mdada anaongea😅😅😅😅

S
suzanneshadow59 1 week, 5 days ago

kwakweli hii imeniuma sana 🎉🎉🎉❤❤❤

Z
zoé_rousset 1 week, 5 days ago

Dah inauma sana hii usiombe ikukute

dustin_olsen
dustin_olsen 1 week, 5 days ago

Haya yalinikuta sitayasahau mpka kufa kwangu usitengrmee mtu yoyote kutoka kwa familia yako ndungu zangu 😢

B
brunamacedo633 1 week, 5 days ago

So painful 💔 😢

J
joe_hammond 1 week, 5 days ago

Yaliyonikuta Mimi kwenye kilimo! Kumbe natumiwa picha za mashamba ya watu wengine😭😭😭!!

steven.gonzalez
steven.gonzalez 1 week, 5 days ago

Imenikuta tumegombana mpaka leo hatuongei na dada yangu mkubwa ata baada ya kumuambia basi nimesamehe sijui anaona aibu, ila mama yeye alikili kosa lake at least kiwanja tu nimekipata

You've reached the end
  • Home
  • For You
  • Search
  • Sign In