Hans mjuaji sanaa anataka aongee yeye tyuu na aaminike yeye tyuu
I
irmela_bärer1 week, 5 days ago
Mshamba uyoo yanga ana lolote😅😅😅😅
M
marguerite_robin1 week, 5 days ago
❤❤❤❤❤
A
allenanderson4041 week, 5 days ago
Jemedali mimi naamini kuwa wew ni mchambuzi mkubwa na unafuatilia matukio vizuri ila naona unareta ushabiki asaivi, yani faulo ya libase kwa duke ni unyayo kwa unyayo unaongea katika media wakati tukio linaonekana wazi ebu kalifuatilie vizuri lile tukio
victoria.solano1 week, 5 days ago
Nimefurahi Sana Jemedari Said amerudi
hannahrichardson8561 week, 5 days ago
Ayo rudi kwenye master unauliza maswali mazuri kwa wachambuzi.
K
kimberlyechoing261 week, 5 days ago
Jemedari inaonekana humjui max wewe, Max anagonga buti vibaya mno,, ni hatari sana.. Na ni moja ya watu wenye ujuzi na wanacheza game tough sana.
J
jacqueline.long1 week, 5 days ago
Chilambo hawezi kupiga cross, kwa sababu hatumikii namna hiyo.
K
kimberlyechoing261 week, 5 days ago
Jemedari leo kaongea ukweli amefyrahia simba kushinda 🤣😂😂😂🤣🤣😂😂🤣🤣
scottarc941 week, 5 days ago
yao kwasi alipiga cross ngapi we aaaaa najua apo roho inakuuma sana
A
aliciabloom161 week, 5 days ago
Duh apewe God yanga?
J
juancarlos.rolón1 week, 5 days ago
Yaani unakimbilia tukio la Kangwanda unaliacha la Libase
C
courtneyatlas821 week, 5 days ago
Hakujawa malalamiko kwasababu simba ameshinda, endapo simba angepoteza mechi tungesikia mengi juu ya waamuzi
R
reecehopkins4731 week, 5 days ago
❤
emmanuelle_maillot1 week, 5 days ago
Juma ayo kazoea kubananisha wachambuzi na maswali ya kinafiki, Sasa na yeye ni zamu yake ya kuulizwa maswali yaleyale aliyokuwa anawabana wenzie
A
adán.cuellar1 week, 5 days ago
Kwn juma ayo yupo wap ckuizi
A
ayushman.chaudry1 week, 5 days ago
😂😂😂
H
hakanhenk7471 week, 5 days ago
❤❤❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
alexislopez2631 week, 5 days ago
Pokea tu swali alafu utalifanyia Kazi, uoongozi ni busara👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 Sauti ya .....
Simba sports club Nguvu Moya ❤❤❤❤❤