Soultrob Soultrob
Home Videos Search Liked Videos Bookmarked Inbox Notifications Sign In
Get it on Google Play Log In
Soultrob
0:00
29:35
29:35

JUSTINE KESSY SIMBA BADO HAWAWEZI KUSHINDANA NA YANGA SC/MANQOBA ALISHINDWA ASSAIMENT/BARKER ALIWEZA

Sports

If you enjoy this video please give a like and subscribe for more videos like this. Follow us on istagram Ava tv..

ADVERTISEMENT
Comments 68 cynthia.costa: UMEELEZA UKWELI ILA HASIYOJUA HAWEZI KUJUA
More Like This
1ይ ዕለታዊ ዜና ስፖርት ዓርቢ 23 ጥቅምቲ 2026፦ ሩኒ ኣብ ልዕሊ ተጻወቲ ዩናይትድ ተሪር ነቐፌታ ኣውሪዱ / ቫልቬርደ መፍትሕ ማድሪድ ሒዙ ኣብ ኤል ክላሲኮ 16:29
1ይ ዕለታዊ ዜና ስፖርት ዓርቢ 23 ጥቅምቲ 2026፦ ሩኒ ኣብ ልዕሊ ተጻወቲ ዩናይትድ ተሪር ነቐፌታ ኣውሪዱ / ቫልቬርደ መፍትሕ ማድሪድ ሒዙ ኣብ ኤል ክላሲኮ
Sports 2.9k 0
BAYERN Woke Rice Up And Immediately Regretted It 0:30
BAYERN Woke Rice Up And Immediately Regretted It
Sports 2.2k 11
STRIKERS NOW VS THEN🥹🎯 #football #soccer #explore #striker #haaland #zlatan #rooney #drogba 0:28
STRIKERS NOW VS THEN🥹🎯 #football #soccer #explore #striker #haaland #zlatan #rooney #drogba
Sports 7.0k 0
Who will win their first game? | Samoa v Wales, Rugby League World Cup 11:00
Who will win their first game? | Samoa v Wales, Rugby League World Cup
Sports 678 0
Do they hit 180° 🤔 #olympics #gymnastics #sports #olympic #worldgymnastics 0:40
Do they hit 180° 🤔 #olympics #gymnastics #sports #olympic #worldgymnastics
Sports 25.1k 27
Scouting an Irish Goalkeeper ⚽️🧤 #football #soccer #footballshorts 2:07
Scouting an Irish Goalkeeper ⚽️🧤 #football #soccer #footballshorts
Sports 4.1k 0
The HARDEST player Scholes played with! 👊 0:37
The HARDEST player Scholes played with! 👊
Sports 702 43
Caleb Yirenkyi Makes a Rough Tackle on Mohammed Kudus During Tottenham Hotspur F.C vs. Coventry City 0:10
Caleb Yirenkyi Makes a Rough Tackle on Mohammed Kudus During Tottenham Hotspur F.C vs. Coventry City
Sports 442 8
You've reached the end

Comments 68

Sign in to join the conversation

Sign in
C
cynthia.costa 1 week, 3 days ago

UMEELEZA UKWELI ILA HASIYOJUA HAWEZI KUJUA

A
andrea_hodges 1 week, 3 days ago

Haujui mpira na hautakuja kuujua mpira na wewe sio mtu wa mpira kazi yako ni kujisifiasifia dhidi ya wachambuzi wengine.Kabla ya Duke kutoka Yanga walikuwa wamezidiwa ball possession Simba 70% Yanga 30% tatizo Simba hawakuwa clinical infront of the goal Yanga wamecheza vizuri wakati mechi 2-1 wanatafuta goli la kusawazisha na kipindi hiki Duke alikuwa kashatoka. Yanga amamfunga Simba mechi 6 mfululizo na moja ya mechi ilikuwa 5-1 lakini Simba hawakudhalilishwa kama walivyodhalilishwa Yanga tarehe 10/10/26.mlizidiwa kila sehemu kwenye pitch mliongoza kwa kucheza faulo tu 😂 Machawa wa Yanga mmoja mmoja mmechanganyikiwa kivyake ukimsikiliza Alli Kamwe na Mchome wanasema Sindano, Dominic Salamba anasema Arajiga aliipendelea Simba,God Yanga anataka taarifa kwa umma,Ambokile anasema kipofu kaona mwezi na mgumba anatema mate,Justin Kessy anasema kukosekana kwa Duke ndio tatizo.Kubalini mmedhalilishwa na timu yenu ya Yanga ilikuwa mbovu on the pitch msitafute excuses,kwani mkisema ukweli mnapungukiwa nini?Au Hersi hatawapa kodi za nyumba? Utataja kila aina ya takwimu ya Yanga under the earth lakini timu hamna mmesajili kwa mihemuko na majina,poleni Utopolo

Z
zoé_rousset 1 week, 3 days ago

Kila mtu atachanganyikiwa Kwa wakati wake🤣🤣🤣🤣

B
brittany.gutierrez 1 week, 2 days ago

Jamaa linajua sana, Yaani Lina AKILI ya MPIRA

M
madeleinedelahaye639 1 week, 3 days ago

Kaka Justine unajua sanaa

S
sherrybaker792 1 week, 2 days ago

❤ FANTASTIC ELABORATION...CONGRATS BRO.

D
dimitrios_bonbach 1 week, 3 days ago

Kaka justine wuko vizuri sana Tunakushukuru

caitlin_macdonald
caitlin_macdonald 1 week, 3 days ago

Safi sana sisi Yanga tumekuelewa kaka Jastiny waache wachambe umbea

C
carol_atkinson 1 week, 3 days ago

Kachanganikiwa huyo dada mwacha aendelee na uchawa wake. Mpira unachezwa uwanjani waache uchawa watafute kazi zingine.

G
gabrieltempest28 1 week, 2 days ago

Mang'oba mng'iti hana mbinu kwa style yake yanga watafungwa sana

M
matthewpalmer720 1 week, 3 days ago

HUYU BADO ATAELEWA MBELE NAJUA YEYE NI YANGA KAUMIA PIA

helena_novais
helena_novais 1 week, 2 days ago

Uko vizuri sana

R
reynaldo_godínez 1 week, 3 days ago

🎉🎉🎉🎉🎉🎉

B
benitosolorzano76 1 week, 3 days ago

Usisahau Masikini akipata Mataji hulia mbwata

S
sarah.zuniga 1 week, 3 days ago

Uchambuzi wenge lengo la kutibu njaa.

L
laurencebailly256 1 week, 3 days ago

Chawa hili

S
shawn.henderson 1 week, 2 days ago

Yanga inawachezaji sema cocha hanaplani

K
kamilly_sousa 1 week, 2 days ago

Great bro Justine. No comment ball unalijua

D
daniel.cantu 1 week, 2 days ago

Binafsi nakuelewa sana kaka, umetisha mchambuzi wangu bora katika ardhi hii bora ya mama yetu SAMIA.

R
robert_richardson 1 week, 3 days ago

..kila siku nasema, kessy wewe unaujua mpira nadhani u mchambuzi mzuri sanaaa

You've reached the end
  • Home
  • For You
  • Search
  • Sign In