MPEMBA HAJUI MAHABA ATIA AIBU
ADVERTISEMENT
Comments 54
joe_hammond:
Dah kweli, kuna mda tunashindwa kuelewa ishara za wanawake,…
More Like This
0:11
He literally has his life in his hands💀💔
Comedy
25.7k
100
1:01
POV: The baby knows too much
Comedy
2.5k
39
2:25
Hardcore Teen vs. the Shady Boss #shorts #movie
Comedy
60.5k
0
0:21
Baby's Hilarious Dance Routine Behind Mom's Back 😂 엄마 몰래 춤추는 아기의 치명적인 댄스 😂
Comedy
55.2k
100
1:13
How I on Wake Up My Sister… 😂
Comedy
15.0k
28
51:00
THE STRANGE MONEY (Yawaskits Movies)
Comedy
7.2k
0
1:20
Different Types of Teachers when they catch you sleeping in class 😂 #shorts
Comedy
13.0k
100
0:35
they picked the wrong customers 🤣 #africanfilms #funny #edit #nollywoodmovie #comedy #africanmovies
Comedy
9.9k
10
You've reached the end
Dah kweli, kuna mda tunashindwa kuelewa ishara za wanawake, ilikuwa aseme tu mke wangu umependeza story ingekuwa tofauti kabisa
Tulio jua anataka kuleta shida za vikoba na leo machumi yalikuwa mabaya tujuane😂😂😂
mi nawapenda Sana hawa😂😂maigizo mazuri
Semegi kapendeza ivoo
Mpemba msifie mkeo 😂😂😂
😂😂😂 nikatizame hicho kitanda eti
Mama Ake Abduli kapendeza sana Mpemba tu halina Mahaba.
Nakumbuka boss wangu alifanya hivyo cku moja ,bwana nae nikama mpemba mpaka akaulizwa kwani unioni😂😂😂😂😂😂ndipo akajibu 😂😂😂
Nimecheka mpaka mbavu zinaniuma Jamani 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hakiyamunguu lahau kwelii 😂
Aaà mashalah leyo wanja imekupendeza
Wa kwanza mie nishakuona
Mpemba mbona unamkera Mchina.
Iyo lipstik 😂 kapendeza shemeji yg
😢😢😢😢anangoja kusifiwa kaishiwa kukaushiwa.mwansume wa hivi anakera
😂😂😂😂😂😂 jamani
Afadhali leo kaitwa Mume wangu, hkuitwa baba yke Massoud!
Mashallah dada umeoendeza na unajua kuect mashallah Mungu akulinde
Hahahaaaa jamani bro mbona unanitia aibu 😄😄😄😄😄😄😅😅
MAMBO. YA. NAWENYEWEEE😂😂😂😂❤