GODY YANGA, FUMAU, KEVOO WAMKATAA KOCHA MANQOBA, TIMU HAICHEZI VIZURI JAPO TUMESHINDA 4-0 AZIZ KI
ADVERTISEMENT
Comments 52
abeerbath407:
Azizi K hamna kituuu atuwache Kwanzaa ndio mana alipoingia …
More Like This
16:29
1ይ ዕለታዊ ዜና ስፖርት ዓርቢ 23 ጥቅምቲ 2026፦ ሩኒ ኣብ ልዕሊ ተጻወቲ ዩናይትድ ተሪር ነቐፌታ ኣውሪዱ / ቫልቬርደ መፍትሕ ማድሪድ ሒዙ ኣብ ኤል ክላሲኮ
Sports
2.9k
0
0:30
BAYERN Woke Rice Up And Immediately Regretted It
Sports
2.2k
11
0:28
STRIKERS NOW VS THEN🥹🎯 #football #soccer #explore #striker #haaland #zlatan #rooney #drogba
Sports
7.0k
0
11:00
Who will win their first game? | Samoa v Wales, Rugby League World Cup
Sports
678
0
0:40
Do they hit 180° 🤔 #olympics #gymnastics #sports #olympic #worldgymnastics
Sports
25.1k
27
2:07
Scouting an Irish Goalkeeper ⚽️🧤 #football #soccer #footballshorts
Sports
4.1k
0
0:37
The HARDEST player Scholes played with! 👊
Sports
702
43
0:10
Caleb Yirenkyi Makes a Rough Tackle on Mohammed Kudus During Tottenham Hotspur F.C vs. Coventry City
Sports
442
8
You've reached the end
Azizi K hamna kituuu atuwache Kwanzaa ndio mana alipoingia hakuna goli lilipotikana
Kocha hana shida wachezaji watumie nafasi kuwa magoli wapunguze kuwa shap mguuun wasikae sana mpira mguun
Azizik yuko vizurisana kamtengenezea mara ngapi mwl hajafunga
Huyu hajui mpira kabisa
Coach Toka pre season mpaka Leo hajielewi
Ni wakati wa Shalulile kukaa benchi. Toure aanze sasa kama standing striker
Uongo sana weee
Kocha hatuna yanga hakuna kitu
Ww hujui mpira nyamaza kwani kocha ndio anaezuwia watu wasifunge
Yani sijui wachezaji wamekuwaj TU khaa ! Kama wamelazimishwaa 😂
Kama Yanga haijawaridhisha nendeni nyumbani kwenu MKARIDHISHWE NA BABA ZENU KUMA NYIE....KEVOO NA GOD YANGA.
Kocha wa kiungo asepe
ACHENI USHAMBA KUMKANA KOCHO
Ninyi vijana, undeni timu yenu acheni ujuaji ninyi siyo makocha?
Huyo coach itafika mahala mtakubaliana tu DULLA ( Heavy Weighty " kuwa huyo coach hamna kitu " La kuvunda halina ubani "
Huyu Kocha mzuri atawafikisha caf champion league finally.
Kazi mbaya
Coach atuna mpira wetu siyo huu wasasa
Hamjui Mpira Nyie kina kevo na wenzako
Wapumbafu sana hawa