Tunaanzia tulipoishia Episode 10, Sara ametoka saluni, Karen alikua anamsubiri ili amgonge na gari, sasa itakuaje? Angalia uenjoy na kufurahi, like na comment, bila kusahau kusubscribe na kushare.
ADVERTISEMENT
Comments 100michelle.ortega:
wifi tunae na tunatambanaye
wifi tunae na tunatambanaye
Wangapi tumefulahi kuona tena move yetu pedwa imetoka tujuane na wangapi tunampenda mke WA boss tujuane pia ❤❤❤nawapenda nyote
Jamani wifi kiboko kweli😂😂🤣🤣
Naipenda Sana wife wetu
Kwakweli anafurahisha sana tunafurahi
Tunaompenda Sara na ton tujuane kwa makopa❤
Ama kweli mnatuchangamusha no stress my darlingi 😂
😂😂😂 nmependaaa hapo alipochukua mik
Jamani unatupatia furaha jamani🎉🎉
Jaman napenda ❤
wifi yetu kajuwa kushukuru 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Niwai leo kutoka burundi
Baraka❤❤❤❤
Wifii kama wifiiiiii🎉🎉🎉 apewe mauwa yake
Nilijua nimekua wa kwanza kumbe hamna duuu 😂😂😂😂😂 twende nalo
Naipenfda san jameni 😂😂🎉
Kimeumana 😅😅😅 aliyempa mic Sarah, nachoka mm jirani yenu
Nilikuwa nimekasirika juu nimeachwa lkn nimesahau machungu jamani😂😂😂😂😂😂
Yani Raha sana ukipata mke kamayeye notresiii ❤️♥️💝💘💞
Ila wifi jamani😂😂😂😂