Wew hujui Mpira kabisa Mzee wangu. Kila siku una msifia seleman mwalimu ana kosa yeye na goli kweli hamna kitu mzee said
A
alix_legendre6 days, 14 hours ago
Aah Kuna watu wanajua mpira ila mzee side umezidi😮😮
M
melissa_haynes6 days, 12 hours ago
Warumi 8 10 Na Kristo akiwa ndani yenu, mwili wenu umekufa kwa sababu ya dhambi; bali roho yenu i hai, kwa sababu ya haki.
C
courtneyatlas826 days, 8 hours ago
Tulio muona mzee saidi chamanzi tuonane hapa
priya_ghose6 days, 7 hours ago
Mzee said chukuwa Mauwa yako 🎉🎉
M
margotgilles4326 days, 14 hours ago
Mzee sideee nakukubal sana mzee wang hutaki unafki
ashleyjames9856 days, 13 hours ago
Mzee Saidi Nakusema Kwa Mama Suedi Sasa😂😂😂Sio Kwa Sifa Hizo Kwa Amisa Mobeto
M
meghana_bobal6 days, 10 hours ago
huyo ni Aubin Klamo 33:11
I
irmela_bärer6 days, 11 hours ago
Ila kweli mzee ali salmu kapotea sana yule mimi shibiki wa yanga ila ali salmu namkubali sana
T
tammy_white6 days, 14 hours ago
Unaisema sn azam yetu do! Hatupendi ata kdg kutusemea timu yetu azam fc
micheal.turner6 days, 12 hours ago
Simba sc yupo kwenye high performance bora Bado unaisema timu.. harafu yanga sc kiwango kimeshuka unaisifia.. harafu unasema unaongea ukweli. Shabiki tu wa yanga sc kwasasahiv timu yao wanaitukana timu yao
H
hans-willi_kallert6 days, 13 hours ago
Ww lazma umtaje mchezaji wa Simba Duimbiya ni no 2.
N
nadiaaether46 days, 12 hours ago
Mzee said hujui Mpira kabisa wewe.. Mohamed Hussein hawezi pata namba timu yoyote kwasasahiv. Azam FC, Simba sc, Young Africans . Hapo yanga sc hawezi kumweka benchi boka mechi ya muhimu kuwa na heshima Mzee said acha uchawa baba Angu
natashabeasley8906 days, 9 hours ago
Mzee Said and Chapesa, Respect 💯
B
bryanmyst976 days, 3 hours ago
Namdurahia Mzee mkweli 🎉🎉🎉
L
laurencebailly2566 days, 8 hours ago
Pole sana mzee wangu 🎉
J
joanne.rose6 days, 12 hours ago
😂ila muzeee sideee unan fulahisha kwel muzee wangu mungu akupe maisha malefuuu,
Mpira unapochambuliwa kwa ufanisi wa hali ya juu🔥
Wew hujui Mpira kabisa Mzee wangu. Kila siku una msifia seleman mwalimu ana kosa yeye na goli kweli hamna kitu mzee said
Aah Kuna watu wanajua mpira ila mzee side umezidi😮😮
Warumi 8 10 Na Kristo akiwa ndani yenu, mwili wenu umekufa kwa sababu ya dhambi; bali roho yenu i hai, kwa sababu ya haki.
Tulio muona mzee saidi chamanzi tuonane hapa
Mzee said chukuwa Mauwa yako 🎉🎉
Mzee sideee nakukubal sana mzee wang hutaki unafki
Mzee Saidi Nakusema Kwa Mama Suedi Sasa😂😂😂Sio Kwa Sifa Hizo Kwa Amisa Mobeto
huyo ni Aubin Klamo 33:11
Ila kweli mzee ali salmu kapotea sana yule mimi shibiki wa yanga ila ali salmu namkubali sana
Unaisema sn azam yetu do! Hatupendi ata kdg kutusemea timu yetu azam fc
Simba sc yupo kwenye high performance bora Bado unaisema timu.. harafu yanga sc kiwango kimeshuka unaisifia.. harafu unasema unaongea ukweli. Shabiki tu wa yanga sc kwasasahiv timu yao wanaitukana timu yao
Ww lazma umtaje mchezaji wa Simba Duimbiya ni no 2.
Mzee said hujui Mpira kabisa wewe.. Mohamed Hussein hawezi pata namba timu yoyote kwasasahiv. Azam FC, Simba sc, Young Africans . Hapo yanga sc hawezi kumweka benchi boka mechi ya muhimu kuwa na heshima Mzee said acha uchawa baba Angu
Mzee Said and Chapesa, Respect 💯
Namdurahia Mzee mkweli 🎉🎉🎉
Pole sana mzee wangu 🎉
😂ila muzeee sideee unan fulahisha kwel muzee wangu mungu akupe maisha malefuuu,
Mzee said ❤❤❤❤
Azam tv wamemmulika jana mzee side