MAMA KASEMA I Ep 28 I
ADVERTISEMENT
Comments 100
melanie.campbell:
Haya jamani tuangalie movie kwanza tuachane na kuomba likes…
More Like This
2:53
Remember this when you want to give up #wisdom #motivation #shorts
Entertainment
130.7k
100
2:01:55
Everyone Mocked The Poor Cleaner, Until One Dance Revealed Her Shocking Identity
Entertainment
1.4k
55
0:15
Those who know…
Entertainment
71.4k
100
1:09:31
KMJS livestream October 25, 2026 Episode - Replay | Kapuso Mo, Jessica Soho
Entertainment
3.5k
100
32:59
The Talking Stage Wahala!😭😭😭😭
Entertainment
1.8k
100
0:33
Two Friends Trapped In One Chair 😅
Entertainment
270.7k
100
14:54
TAJIRI NA MKE WA KIJIJINI EPISODE 13: MUME HAJARUDI
Comedy
1.2k
93
58:01
NEW 2026 ERI SITCOM MEWEALTI - መዋዕልቲ' PART 133(BY BRUNO)
Comedy
4.2k
0
You've reached the end
Haya jamani tuangalie movie kwanza tuachane na kuomba likes tafadhali 😂😂 pumbavu zenu 😅
Siwajui wazazi wako lakini nawatakia maisha mema yenye furaha na amani tele 🙏🙏🙏
Kulala na kuamka ni neema Kila mwenye pumzi naamsifu BWANA WAPENDWA ❤❤❤❤❤❤❤
1:00 Kutoka kwa Abu Hurayrahرضي الله عنه kwamba Mtume صلى الله عليه وسلم alimtembelea mgonjwa aliyekuwa na homa pamoja naye akamwambia mgonjwa: ((Bishara njema (Furahi) kutoka kwa Allaah Anasema: Nitamsibu mja Wangu duniani kwa kwa moto (homa) Wangu ili aepukane na sehemu ya moto wa Akhera)) [Ahmad, Ibn Maajah, At-Tirmidhiy- Hadiyth Hasan] Kwahiyo magonjwa yasitufanye tuka kufuru ndugu zangu katika Imani Asalam aleykum warahmatulah wabarakatu 🫱
Waona tamani nguvu za fahqueen zirudi tujuane 😢😢😢
Jamani mrudishieni nguvu zake rfk ang fahqueen sa itakuwaje😢
Kwani hamuwezi kua nahuruma ata kdgo kma ata like 💯
Wakristo wenzangu bwana asifiwe ❤❤
Kiingereza kmenifurahisha
Mmepigaje hapo 0:16😅😅
Mm kwenye hii movie nampenda sengo😅 Hua ananibamba😊
Watching from Saudi arabia kenya lady leo naomba likes jamanii
Mkuu mbn umevaa abaya na hatusemi 😅😅
Eeeh jumapili njema kabisaaa😂😂😂😂😂
Aya ambao hatujaenda kanisani tujuane apa😂😂😂😂
THE REASON IS B MIGOMBA😂😂 0:35
Sasa swahili inaisha jamani sisi wengine atusikiye kingereza❤
Dah mwandish mrudishie Mke Wa mtelu nguvu zake asee 😢🙏
Nipeni likes kumi leo😮 Moto from 254😊
seki kalizika na sambwanda lake😅😅😅