MUUZA MAJI [21] SEASON 2
ADVERTISEMENT
Comments 100
natashabeasley890:
Simjui mama yako ila namtakia maisha malefu na afya njema .…
More Like This
2:53
Remember this when you want to give up #wisdom #motivation #shorts
Entertainment
130.7k
100
2:01:55
Everyone Mocked The Poor Cleaner, Until One Dance Revealed Her Shocking Identity
Entertainment
1.4k
55
0:15
Those who know…
Entertainment
71.4k
100
1:09:31
KMJS livestream October 25, 2026 Episode - Replay | Kapuso Mo, Jessica Soho
Entertainment
3.5k
100
32:59
The Talking Stage Wahala!😭😭😭😭
Entertainment
1.8k
100
0:33
Two Friends Trapped In One Chair 😅
Entertainment
270.7k
100
1:16
Mummy Vs Dadaji- breakfast machine #shorts
Comedy
132.7k
0
0:25
Women were NOT SAFE! 😳🚂
Comedy
134.5k
100
You've reached the end
Simjui mama yako ila namtakia maisha malefu na afya njema . Comment Ameni kama tupo pamoja❤
Ata mke wangu ange kuwa ivi namimba yake apana ninge koma mimi 😂😂😂
G kua makini na uyo rafiki yko ucje ukalia
11:24.ww G muamini tu uyo ndugu yako mpka am bebe Ochu ndo utatia akili 😂😂😂
Toka season one hadi two tupo pamoja 🎉
Mfanyakazi wa ndani kaagizwa huyo maana mke wa zamani ya Mjuba aliwaona na mtoto wao Barabarani acha kiwalambeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu atusaidie wote ambao hatuna kazi tupate kazi.
Mawese anawaendo vizuri wake zake❤❤🇨🇩 ongera sana kwa
Ila ujauzito wa zoya jamn hapanaaaa
G ochu ataibiwa wew jifanye mzung tu 😂😂😂
Nipenda sana boy unaheshima sana kwa kumkwepa mwenye anataka kuvunja ndoa yako🎉🎉🎉🎉🎉
Mawese usilazimishe hayo maisha kwakizazi hiki ngumu hiyo labda umpeleke sehemu nyingne sio kwa mke mkubwa 😂
😂😂😂😂 yani mmakonde kuishi nae inahitaji moyo tena wa chuma so kwa vituko hivyo
Hongera kk panju kazi njema
Mwaka huu panju umetisha hamna kupoa huku love+ huku muuza maji s2 hatari sana kazi zote za moto
Huyu mgeni wa kwa.juba nahisi katumwa huyu aharibu hiyo ndoa
Sawa tuu c mmeona mtucheleweshee episode 😟😟
Tunao angalia leo mchanaa❤❤❤❤
Team from Mozambique 🇲🇿 In God we trust you brother Panju
nyau unanichekesha kwel😅😅😅😅