NAKUJA EPISODE [ 70 ] FULL HD
ADVERTISEMENT
Comments 100
lucieadam19:
Mbona kama imeanza kuboa kila siku Nilo anaangaika na dawa …
More Like This
2:53
Remember this when you want to give up #wisdom #motivation #shorts
Entertainment
130.7k
100
2:01:55
Everyone Mocked The Poor Cleaner, Until One Dance Revealed Her Shocking Identity
Entertainment
1.4k
55
0:15
Those who know…
Entertainment
71.4k
100
1:09:31
KMJS livestream October 25, 2026 Episode - Replay | Kapuso Mo, Jessica Soho
Entertainment
3.5k
100
32:59
The Talking Stage Wahala!😭😭😭😭
Entertainment
1.8k
100
0:33
Two Friends Trapped In One Chair 😅
Entertainment
270.7k
100
1:16
Mummy Vs Dadaji- breakfast machine #shorts
Comedy
132.7k
0
0:25
Women were NOT SAFE! 😳🚂
Comedy
134.5k
100
You've reached the end
Mbona kama imeanza kuboa kila siku Nilo anaangaika na dawa hataki kusikilizwa😢😢😢😢
Huku kutaa kutumia Dawa ni kurefusha tu series mwandishi hayupo serious kabisa 😂
Km una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wanaoamini faraja ni mtoto wa tanu tujuane na likes
Mungu si unipee huyu dem mrembo mwenye anasoma hii comment 🥰
Nilo akuna aja yakuwaambia ww mpee dawa anywe
Hata heri mngebaki misukule maana mnabore na midomo mingi
Huo upande wa watoto wA kizigo hauna mvuto
Namba ya pili from Kenya wakenya njooni hapa ❤❤❤
Kama imeisha imalizwee mnakoendea inaboa
Wanazingua uyo nilo ata mgonjwa mmoja angekubali kutumia dawa ili iwe mfano
Movie inaboa mtoto wa Sara aseme ukwer kuhusu dawa
Nilo si uwaache wafe au kuturefushia move kila kipande ni dawa tuu mnaboa
Team nillo like ap ❤
watanzania Tujuane kwa like@
Jamani mfanye iishee 🙏🙏🙏
Faraja unatafutwa na kizigo pamoja na vava ila wao wanakutafuta kwamabaya ila mimi nakutafuta kwa mema 🫣
Ifike wakati sas kama awataki kumia dawa wafe movi iishe nishachoka sas😢😢😢adi asira kila siku kubembelezewa dawa unasubir mov kwa ham mamb yale yale
Inaboa sasa dawa wanakataa mke anatak talaka steling wanatak wamuue inaboa
Kulala na kuamka ni neema Kila mwenye pumzi naamsifu BWANA WAPENDWA ❤❤❤❤❤❤❤