furaha isizidi sana tukumbuke na kifo kila siku inavyobadilika ndoo siku za kuishi zinapungua tujitahidi kujenga makazi mema ya huko kwenye maisha mengine leaning to day leaders tomorrow tukumbushane kufanya ya takayompendeza Mungu😢Maisha ya Duniani ni mafupi sana......,Tunakumbushana t🙏🙏🙏
S
silvia_garcía2 days, 19 hours ago
Si wangemruhusu tu hata picha, mbn hawamheshimu Denzel trainer wakati anawa train wachezaji wengi sana.
G
gabriela.miranda2 days, 21 hours ago
Safi sana trainer
N
nicholas_bell2 days, 20 hours ago
Mimi kama mimi nimefurahi sana 😅😅😅
keith_davis2 days, 18 hours ago
Kumtakia mwenzio mema ni jambo jema❤❤
V
victoire_chrétien2 days, 20 hours ago
Si wamwachee
gerolfechoing172 days, 18 hours ago
Hongera Sana dezel trainer Mungu akubarik
L
laurencebailly2562 days, 20 hours ago
Simba guvu moja 🔥❤️🔥❤️
H
harryjames2112 days, 20 hours ago
Hawa walinzi wahovyo
R
rebecca.jordan2 days, 20 hours ago
Jaman hii simba jaman sijui hata jinsi ya kufurah furaha ya kueleweka nahis kama sielewek mim
H
hugo.ozuna2 days, 20 hours ago
Kikapu kimegoma kujaa 😂😂😂😂Dumbiaaaaaaaa, Mm Yanga ila Doumbia wacha afunge tu😂😂😂
N
normamcconnell2292 days, 19 hours ago
Ile goli nilifurahi hd nililia jmn da alitafuta kwa nguvu zote
O
océane.blin2 days, 21 hours ago
mwamba kabsa denzel t
tracey_ramos2 days, 20 hours ago
Hapo kuna Mambo haya ✌️.
G
georgesnight772 days, 18 hours ago
Emotimal
vincent_keer2 days, 19 hours ago
Ahh Yan Wana Simba tulikuwa na uhakika wa kushinda but kubwa ni hili doumbia kufunga
C
cynthia.costa2 days, 20 hours ago
Mwacheni jamani.
helena_novais2 days, 19 hours ago
Dazen anajua kiukweli mana alianzia kwa chama na mpanzu
furaha isizidi sana tukumbuke na kifo kila siku inavyobadilika ndoo siku za kuishi zinapungua tujitahidi kujenga makazi mema ya huko kwenye maisha mengine leaning to day leaders tomorrow tukumbushane kufanya ya takayompendeza Mungu😢Maisha ya Duniani ni mafupi sana......,Tunakumbushana t🙏🙏🙏
Si wangemruhusu tu hata picha, mbn hawamheshimu Denzel trainer wakati anawa train wachezaji wengi sana.
Safi sana trainer
Mimi kama mimi nimefurahi sana 😅😅😅
Kumtakia mwenzio mema ni jambo jema❤❤
Si wamwachee
Hongera Sana dezel trainer Mungu akubarik
Simba guvu moja 🔥❤️🔥❤️
Hawa walinzi wahovyo
Jaman hii simba jaman sijui hata jinsi ya kufurah furaha ya kueleweka nahis kama sielewek mim
Kikapu kimegoma kujaa 😂😂😂😂Dumbiaaaaaaaa, Mm Yanga ila Doumbia wacha afunge tu😂😂😂
Ile goli nilifurahi hd nililia jmn da alitafuta kwa nguvu zote
mwamba kabsa denzel t
Hapo kuna Mambo haya ✌️.
Emotimal
Ahh Yan Wana Simba tulikuwa na uhakika wa kushinda but kubwa ni hili doumbia kufunga
Mwacheni jamani.
Dazen anajua kiukweli mana alianzia kwa chama na mpanzu
Hii Simba ndo timu ya taifa au nin
Safi sana