GIGY AWA MBOGO, MAMA BWANA AKO KANIFANYIA VITU VYA AJABU ULITAKA NIFUKUZA NIKIWA NA MIAKA 12....
ADVERTISEMENT
Comments 78
andrew_martin:
Hakuna anaekuelewa unavoumia Ila wengi tutakulaumu kwasabu …
More Like This
0:11
He literally has his life in his hands💀💔
Comedy
25.7k
100
1:01
POV: The baby knows too much
Comedy
2.5k
39
2:25
Hardcore Teen vs. the Shady Boss #shorts #movie
Comedy
60.5k
0
0:21
Baby's Hilarious Dance Routine Behind Mom's Back 😂 엄마 몰래 춤추는 아기의 치명적인 댄스 😂
Comedy
55.2k
100
1:13
How I on Wake Up My Sister… 😂
Comedy
15.0k
28
51:00
THE STRANGE MONEY (Yawaskits Movies)
Comedy
7.2k
0
1:20
Different Types of Teachers when they catch you sleeping in class 😂 #shorts
Comedy
13.0k
100
0:35
they picked the wrong customers 🤣 #africanfilms #funny #edit #nollywoodmovie #comedy #africanmovies
Comedy
9.9k
10
You've reached the end
Hakuna anaekuelewa unavoumia Ila wengi tutakulaumu kwasabu ya kuposti ulivyobishana nae Ila kusema ukweli watoto wa lolelewa na mama pekee yake wanaelewa anachokipitia gig 😢😢 japo si wamam wote Ila wengi wataelewa hii na hata wengine huuza mabinti zao km mtaji kwenye maisha Yao heri ulelewe na single father kuliko mam 😢
Hata kama mama yako ana makosa, kwanini uongee nae huku unachukua video kuonesha watu, kwanini usimfate muongee mmalize, hii laana
Mama na mtoto wote ndio hao hao Mungu awasamehe. Ila Gigy ungekaa kimya acha kubishana na mzazi wako.
Siwezi kumhukumu Gigy,,coz sijui anachopitia yeye na mama yake,,but kwa ufupi Gigy anaonekana ana uchungu sana maybe kutokana na maisha aliyoishi na mama ake,,Gigy my sister unahitaji cancealor na msaada wa kiroho ili uweze kumfurahia mama yako na yeye akufurahie wew na muishi kwa Amani na Upendo,,No body perfect,,but wew ni Binti mzuri na Mama yako anatakiwa awe proud of you..ila usijali Mda utafika mtakaa sawa,,kwasababu Mungu anakuwazia mema
Muache mama yako ujui mpaka hapo ulipofika ujui ana madeni mangapi kwaajili ya kukulea wewe pili wako watu wanatafuta mama zao hata wa kula ela zao 3 mama ni mama ata kama anapungufu gani ni mama yako
na kwanini ulecod kama sio kijianika
Gigi we ni mwehu mubwa wewe huwezi kumutukana mama akoo😢😢😢😢😢😢
Anayo yapotia gigi yashanikuta namuelewa sna gig hila me ndo cwezi ongea to rkn nilio yapitia kipindi icho Mungu ndo shaidi rkn mpk ssa nishazoea maisha ya pekeyngu
Mmh, Mungu nilindie binti yangu akue kimaadili yakufuata sheria za Mungu.
Sitaki kuwa single mama kwajili ya malezi nilio pitia Mimi nakuelewa gg kabisa
Alafu apo karewa ndo maana
Gigy has always been traumatized and this says a lot . Her mother wronged her and it’s a shame how the comment section is judging her . Yes it’s wrong what she’s doing but where is the sympathy.
Wewe uyo mama yake mwacheni kama alivyo
Huyo Abdul mbona kama anauza kisamvu?
I love her,she must be passing through alot,she needs help. She should put everything in the past.
Kwakweli sio sawa kubishana na mama mzazi kwenye mitandao niaibu sana. Ungeenda nyumbani kwake ili muyaongee yaishe muelewane.
Siyo vizuri kubishana na mama ako
Shekh walidi ampe mafunzo ya dini huyu siyo kumsilimisha tu .
Usingelewa usingeongea hovyo
Kwaiyo sasa ivi unavyo liwa ovyo faida yake ni hiyo ya kupata laana