Atakaefika nusu ndo tutajua Ila Yanga respect kwa rotation
C
carol_atkinson5 days ago
Mimi kila siku nawambia wanao sema kocha afukuzwe wengi wao ni mashabiki wa simba kama unanipinga freshi tu ❤❤
irene.humphries5 days ago
Hakuna kocha hana shida shida ni kwamba Kuna kaupepo furan Huwa tunapitia Kila msim hata alipokuwepo nabi na aliefata tilipitia huo upepo ila yanga ndo Ile ile
R
reynaldo_godínez5 days, 1 hour ago
Leo ndio nimeona upana wa kikos Cha yanga🙏🙏🙏🙏
M
marcelladörschner4835 days, 2 hours ago
No problen diara ,bacca,shabalala,yao,azizi ki,abuya ,max,shalulile.
pedrolucas.abreu4 days, 23 hours ago
Kweli Muchome ni mmojatu Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
claude.renard4 days, 23 hours ago
Mchome ni mmoja tu Mungu akulinde Wewe ni hadhina kweli kweli
J
jonathan.hill4 days, 17 hours ago
Yanga wazawa ndo wamefunga raha sana aisee
scottarc945 days, 1 hour ago
Je kolo ataweza higooo 😂??no chama nalibaseno aura no roushen nomaema ataweza
B
benitosolorzano764 days, 17 hours ago
Rotation ya kikosi cha Yanga ni hatari ndiyo maana ya kikosi kipana imeonekana ❤❤❤❤❤
D
diane_thompson5 days, 1 hour ago
Mchone ni mmoja tuu
H
hortensepoirier4535 days, 1 hour ago
MANQOUBA NG'ITH THE CHAMPION OF ROTATION
luisquesada5245 days, 2 hours ago
YANGA BINGWA TENA CHAMPION LIGI
D
dimitrios_bonbach5 days ago
Umesema ukweli Mchome Mapovu. Kocha anataka kila mmoja awe na uwezo mkubwa
J
joshuaplume845 days, 1 hour ago
Nasema ivi tunakuja pole pole tuu leo wamecheza next game watazidisha
Atakaefika nusu ndo tutajua Ila Yanga respect kwa rotation
Mimi kila siku nawambia wanao sema kocha afukuzwe wengi wao ni mashabiki wa simba kama unanipinga freshi tu ❤❤
Hakuna kocha hana shida shida ni kwamba Kuna kaupepo furan Huwa tunapitia Kila msim hata alipokuwepo nabi na aliefata tilipitia huo upepo ila yanga ndo Ile ile
Leo ndio nimeona upana wa kikos Cha yanga🙏🙏🙏🙏
No problen diara ,bacca,shabalala,yao,azizi ki,abuya ,max,shalulile.
Kweli Muchome ni mmojatu Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mchome ni mmoja tu Mungu akulinde Wewe ni hadhina kweli kweli
Yanga wazawa ndo wamefunga raha sana aisee
Je kolo ataweza higooo 😂??no chama nalibaseno aura no roushen nomaema ataweza
Rotation ya kikosi cha Yanga ni hatari ndiyo maana ya kikosi kipana imeonekana ❤❤❤❤❤
Mchone ni mmoja tuu
MANQOUBA NG'ITH THE CHAMPION OF ROTATION
YANGA BINGWA TENA CHAMPION LIGI
Umesema ukweli Mchome Mapovu. Kocha anataka kila mmoja awe na uwezo mkubwa
Nasema ivi tunakuja pole pole tuu leo wamecheza next game watazidisha
Noma sana
Mi sitamani kabisa kocha aondoke
Barikiwa sana kaka Mchome pokea maua yako 🎉🎉
🎉🎉🎉🎉 yako Mchome
🎉🎉🎉🎉🎉saf sana mchome