0:00
6:13
6:13

KAY MZIWANDA AMKATAA DOUMBIA MBELE YA VIONGOZI WA SIMBA - "SIWEZI KUOLEWA NAE TENA"

Sports

KAY MZIWANDA AMKATAA DOUMBIA MBELE YA VIONGOZI WA SIMBA - "SIWEZI KUOLEWA NAE TENA" Mashabiki wa Simba SC wakiendelea kushangilia ushindi na matokeo mazuri uwanjani, shabiki maarufu Kay Mziwanda ameibuka na kauli nzito akitangaza rasmi kuvunja "ndoa" yake na mshambuliaji wa Simba, Ousmane Doumbia, mbele ya viongozi na wadau wa klabu hiyo. Kay Mziwanda amefunguka sababu zilizomfanya achukue uamuzi huo baada ya mchezo, akitolea ufafanuzi nafasi zilizopotea uwanjani, uchezaji wa kikosi cha Simba, pamoja na mtazamo wake kuelekea mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC. Tazama video hii mwanzo mwisho kujionea vituko na madai yake! ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: [email protected]

ADVERTISEMENT
Comments 0 Be the first to comment