Karibu tena kwenye chaneli ya **Twizy Dady Tv**. Leo tunakuletea muendelezo wa simulizi yetu ya kusisimua ya **Mtoto Wangu Part [54]**. Katika sehemu hii, Twizy amenyimwa dhamana kwasababu ndio mshukiwa namba moja adera ni kama kauawa, nini hatma ya kisa hiki cha kusisimua? Hakikisha unatazama mwanzo mpaka mwisho wa **Mtoto Wangu Part 54** ili usipitwe na chochote kwenye hii **Bongo Movie mpya** ya mwaka 2026. Kama unaipenda tamthilia hii na ungependa tuendelee kuileta kila siku: ✅ **SUBSCRIBE** na uwashe kengele (Notification Bell) ili uwe wa kwanza kupata taarifa! 👍 **LIKE** video hii kusaidia simulizi hii iwafikie watu wengi zaidi. 💬 **COMMENT** hapo chini: Unadhani nani ni msaliti kwenye sehemu hii ya leo? **Tazama Episode zote za Mtoto Wangu hapa:** 👉 https://www.youtube.com/playlist?list=PLLhxbL93nudq_JPgtPd4fdb1ajGBDj_p6 **Wasiliana nasi na kufuata kazi zetu nyingine:** 📸 Instagram: [https://www.instagram.com/twizydady?igsh=MXdqdmM0YXU4NGRqeA==] 🎵 TikTok: [https://www.tiktok.com/@twizydadytz?_r=1&_t=ZS-95iOnbkcLlA] #MtotoWangu #TwizyDadyTv #BongoMovie #Tamthilia #SwahiliDrama #TanzaniaSeries #LoveStory #FilamuZaKiswahili #LatestBongoMovie #MtotoWanguPart[Namba ya Episode] #Drama #EastAfricanMovies
ADVERTISEMENT
Nice movie. kwakweli twizy kwenye haka kamuvie umejitahidi sana. Naamini Kila mtu anafurahia na huwa anasubiri kwa hamu sana kipande kinachofuata🎉
Happy mother's day to all mother's 💞💞
Rafiki wa twizy Mungu akubaliki san kutoka moyoni mwangu uwe na moyo huo huo usibadilike aki una moyo wa kipekee san urafiki wako niwakutoka moyo na sio wakinafiki
Kwa mimi wa ngapi leo mbona sielew mana kila mtu mimi wa kwanza mimi wa kwanza😂😂😂😂😂😂😂😂
Tunao angalia tukiwa tumetoka kanisani tujuane apa 🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂Amanda wakufe wote🎉❤❤
Tulioenda church leo mungu awabariki sana❤
Jmn mm wa 11 lakn nawapenda sana twizy na familia yk ❤❤❤❤🎉
Nyuki ilo shat tumelichoka 😂😂😂
Namshukuru Mungu, mke wangu amejifungua mtot wa kiume🎉🎉❤❤❤❤
The first one ❤😅
Leo watu MBNA mmechelewa😂😂
Kazi nzuri
Njenje nakupenda Kwa kupambania twizy,🎉🎉🎉🎉🎉 hongera
Safi sana❤❤❤❤
🤣🤣🤣 Amanda fagia wote na saidie baba plz Mai swthy mungu akutie nguvu wakati huu mgumu dadangu🫂🫂🫂♥️♥️♥️
😂😂😂😂mwenyekiti Ujanja kwisha kwa Amanda😂
Sijacoment chochote tulia umaliza kipande kizima tunasubili coment Yako tusome kimyakimya kama unavyo soma hiiii comment 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Terceiro em Moçambique
Twizy kapata rafiki mzuri jamani,ambaye ana mpambani sisi wengine tunaambukiya wa nafiki tu