MIMBA MWAKA 2000, MADAI 2026 | MWISHO•
ADVERTISEMENT
Comments 100
christine_ferrand:
Hii Haina Mrejesho Mambo Yameisha🙏🏾
More Like This
1:14
103 & 98 Year Old Besties Went VIRAL For Their Arguments & The Internet FELL IN LOVE 😂🥺👑
Comedy
0
100
0:37
This is Evil😭✌🏽
Comedy
42.9k
100
1:29:49
He Was Just a Nobody… Until He Became a Knight | Martin Lawrence | Full Movie
Comedy
2.3k
52
0:30
😅😅😅some where in Jamaica #jamaica #jamaican #funny #trending #grandpa #shortvideo #viral #foryou
Comedy
1.5k
0
2:54
Our wife the hooks 😹 #explore #funny #bestcomedyskit #viral #comedy #skit #couple #prank
Comedy
18.0k
0
48:37
D.N.A HOLIDAY Ft KIDBABY// OLAIYA IGWE// SOLA KOSOKO// TAAOOMA
Comedy
4.4k
100
1:55
When you choose to be a polygamist
Comedy
9.0k
0
17:43
FUMANIZI NDARO NA STEVE MWEUSI UTACHEKA
Comedy
3.9k
100
You've reached the end
Hii Haina Mrejesho Mambo Yameisha🙏🏾
Alie ona kurwa ame fana na baba ake agonge like
Wanao Amin ivan ameletwa na mungu like hapa
Huyu mama kateseka sana kwaajili ya watoto wake jmn ….namfahamu daaah😢
Mjomba amejitahidi kuipambania milioni 20 kwa kadri awezavyo😂😂
Dah I van kazi yako sidhan kam kuna m2 atakuja kukuzid hiyo ni power of God 💪
Huyo mzee akatoe shukrani kwa kusamehewa na pia Amshukuru Sana Mungu pamoja na ivan kwa kuwasaidia kufikia hapo❤❤❤
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni I Vani kafanya kazi ❤❤❤❤❤❤
Tunaomb mrejesho bna huu hautoshi ,,,tuoneshe ndan tuoneshe ata akikabidhiwa funguo mama ,,,tunaomba jamen 😊ILA UMBEA KAZ NYIEE🙌🙌😅
Van katika video iliopita mzee alisema na Aliahd atamuingiazia mjomba milioni 20 lisimamie please na yy apate kifutajasho kapambna san kwa watoto
Wanahoona uyo kukurwa kafanana na baba yake weka ❤❤❤❤❤
Huyu mzee anakiburi cha pesa cheko Gani hiyo 😢😢😢😢 hahahahaha
Huyo mzee Sina Imani nae nimnafiki. tuu
Yaani mzee ni mtu mzur sana kwa kulia 😂😂😂😂😂
Mzee ukapasi suti Sasa maana sio kujikunja huko na upeleke kwa fundi akushonee upindo umeachia
Doreen kapolee afu akili kubwa💪
Huyu mzee kwa machozi anaweza akachukua kombe ila kwa kulea watoto ziro
Wakwanza Leo like zangu
Uncle anasubiri milioni 40 yake kiulainiiiii!
Asiwatoe kafara jamani huyu mzee haya machozi yake sijayaelewa.