#Bhailam ⭐ Disclaimer This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel! Subscribe hapa : https://www.youtube.com/@Bhailamkhan/ Subscribe to Comedy Plus: https://www.youtube.com/@ComedyPlustz/videos Like Ukurasa wetu wa Facebook :https://www.facebook.com/Comedyplustz/
ADVERTISEMENT
Sasa hii imekuwa too much tunataka kuona company ikirudi mikononi mwa boss bailam tumechoka na mipango ya kina genius
Kama umegundua kuwa hii muv inazid kupoteza mvuto gonga LIKE hapa
Kulala na kuamka ni neema wapendwa Kila mwenye pumzi naamsifu BWANA ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉
Njua mko uku team strong mpoo wakenya hoyeee 🎉🎉❤❤❤❤❤❤nawapena nikiwa oman 🇴🇲 💪 ❤️
Bhailam hii filamu imekushinda, mana inavyozidi kuendelea ndio inazidi kupoteza ladha, imalize tuuu
From znz mkuje
Movie yangu niipendayo vipenzi vyangu🎉🎉❤❤
Mmmh mbona huyu sjui ndo kadi sikuelewi yuko upande wa Bhailam ama hawa wezi wa kampuni mbona nasikia Monica afukuzwe kazi na huyo ndo tunamtegemea arudishe document kwa Bhailam
Wa mwisho 😅
Mkenya 🎉🎉wakwanza ❤❤❤ nipe likes zangu
Napenda kapuni irundi bilam arundich alafu iedelee sijui kama nimekosea
Nime wayi Leo nipe like from bunia ituri❤
Wangapi tunaamini mama chiku atakuja kujutia kumsaidia huyu dada 😢 tunaomba ifikie wakati bhailam upate Mali zako
mtenda akitendwe uhisi kaonewa😂😂 Monica kiukwel uliniumiza mpk me et ulivyomuumiza bhailam😅😅kula chuma icho
Kazi mzur bailam 🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza 🎉🎉
Campuny ilinyaganua episode 18.kufika episode ya 29 ethi campuny itarudi Hadi sasa 43 hajarudi drama kbs hizi munazuguka pale pale tumechoka jmn
Bila kuchok
Team Bailam Mie From Mueda Mozambique ❤🎉😊😊😊🇲🇿🇲🇿🇲🇿🕊️🕊️
😂😂😂😂Chiku na baba yako mnamambo kiukweli mnanipa raha siosiei😂😂