DADA WA KAZI – MOVIE YA KUSISIMUA NA KUGUSA HISIA Karibu kutazama movie ya Dada wa Kazi, simulizi yenye mafunzo makubwa kuhusu maisha na mateso wanayopitia baadhi ya dada wa kazi katika jamii. Movie hii inaonyesha changamoto, unyanyasaji, dharau, na mapambano wanayokutana nayo wakiwa kazini huku wakijitahidi kutafuta maisha bora. Je, dada wa kazi atafanikiwa kuvumilia mateso hayo au atapata haki yake? Tazama hadi mwisho ujifunze somo muhimu kuhusu upendo, utu, na haki za binadamu. Usisahau: ✅ Like ✅ Comment ✅ Share ✅ Subscribe kwa movie na simulizi zaidi zenye mafunzo. #DadaWaKazi #MovieYaKiswahili #BongoMovie #DramaYaKusisimua #MaishaYaDadaWaKazi #SwahiliMovie #MovieMpya #MafunzoYaMaisha #TanzaniaMovies #Drama #mtotowaajabu #MamaWakambo # ClamVevo #biggboss #dontatv #bollywood #bintiyangu #ndoa #lovemeagain #dunia #kiparabrand #babajoan #kpwaaquino #babygirl #bhojpuri #baba #babyboy #babysuputv
ADVERTISEMENT
Nawapenda sana natamani kujua kama na nyinyi unanipenda ❤❤❤
Bila chuki Wanaopenda Dada Lenticia gonga like tukisongaa 🎉🎉 Number 12 kutoka Kenya 🇰🇪 😍 👌
Kama unampenda liticia like hapa from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwa kweli leticia ni dada mzuri sana wapi lyk zake🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Wanaye mkubali Leticia let's gather here gonga like,
Wenye tunapenda leticia gonga like hapa❤
Nipeeni likes za Leticia jamani🎉❤
Tunaompenda Leticia kama Mimi hapa gonga like tukisonga❤❤
Leo wa mwisho wapedwa naomba like za letisia🎉🎉
Letisia 🎉🎉🎉🎉 unaakili sana
Mashaallah leo wa kwanza
Kazi nzuri kweli nafatilia nikiwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤ ila janeti😢😅😅😅 wapi likes za letisia😅😅😅❤❤❤
Nakupenda sana mrembo wangu Leticia kwakweli
Wa kwanza from kenya naombeni like zangu🎉🎉
Dada wa kazi jamani uko sawa❤❤❤❤❤
Wapi likes kwa wenye wanapenda Leticia❤❤
Nafuatilia KUTOKA KAMPALA 🇺🇬 🇺🇬🇺🇬
Leticia kazi nzuli
Naipenda hii movie na hivyo vituko vya Janet mbna raha 😂😂😂😂😂
Jane watapendana na mwenye alimsandia