BlunderStories Season 1 Episode 10 Follow Izkonka On Socials: Instagram: https://www.instagram.com/izkonka?igsi=enB3aThjMHpuN2E1&utm_source=qr Tiktok: https://www.tiktok.com/@izkonka?_r=1&_t=ZS-99OOiAZIKI8 Facebook: https://www.facebook.com/share/1EePrDReen/?mibextid=wwXIfr Snapchat: https://www.snapchat.com/add/izkonka?share_id=Gn6RG4zSSO2KQee38fEuYQ&locale=en_US Tuma Story Hapa: [email protected] Support Nachtor: Lipa No Voda: 355871504 - NACHTOR MOVIES NMB: 30710066702 - ELISAFI ELISAFI
ADVERTISEMENT
Helo wanakijiji incase of tea coffee or snack welcome here❤❤❤❤
Mimi Dada Angu mwaka 2006 mwanaume wake alikifark katkat ya Tendo geto la uyo kaka. 😢 lohh Asahau Thnx GOD Akufungwa ipo siku nitatuma story 😢
Inasikitisha 😢😊pia mwisho inachekesha vile 🙆♀️ wahusika wamekimbia 😂😂alafu walobaki wanaulizana tunaelekea wapi dah😂😂 innalillah wainnaillah rajiun 😭
Leo wana Nachitor mmenifurahisha mmekomemti vinavyohusiana na story sio kuomba like 😅😅😅
Leo dj umependeza😂chaguo zuri la tshert 😊
Nimeacha kufua na kupik kisa storry 😂😂😂😂
Wanakijiji nawapenda saaana ❤❤❤❤❤❤❤story nzuri mnoo
Oya kuna ma storyteller hapa bongo ila mwanetu👍🔥🔥🔥
Naona walevi tumefikiwa
Wanakijiji wengine kazi kusoma tu comment ,maendeleo ya kijiji aaaah😂😂😂🤭
Wacha n comment kwanza 😂
Wa kwanza hapa
Wa kwanza
Wakawa wanakijiji ila sio wa nachtor😂😂😂
Hii story kuna mwana amewahi kunisimulia😂
🔥🔥🙌
5:36 🤣🤣🤣 inaonekana konka kwenye mapagala ni sehemu zako 6:12 na unavyotoa mifano ya kubana pia ni mambo yako maana unatoa mfano kwa weledi kabisa🤣🤣🤣🤣
Dunia ya sasa kupata washkaji ambao wanasimama na wewe kwenye majanga kama washkaji zake malick ni nadra sana
Nyie nimekuja mbioo mzee wa kazi Nawapenda naomben like ❤
Wa kwanza leo mweee