DADA WA KAZI – MOVIE YA KUSISIMUA NA KUGUSA HISIA Karibu kutazama movie ya Dada wa Kazi, simulizi yenye mafunzo makubwa kuhusu maisha na mateso wanayopitia baadhi ya dada wa kazi katika jamii. Movie hii inaonyesha changamoto, unyanyasaji, dharau, na mapambano wanayokutana nayo wakiwa kazini huku wakijitahidi kutafuta maisha bora. Je, dada wa kazi atafanikiwa kuvumilia mateso hayo au atapata haki yake? Tazama hadi mwisho ujifunze somo muhimu kuhusu upendo, utu, na haki za binadamu. Usisahau: ✅ Like ✅ Comment ✅ Share ✅ Subscribe kwa movie na simulizi zaidi zenye mafunzo. #DadaWaKazi #MovieYaKiswahili #BongoMovie #DramaYaKusisimua #MaishaYaDadaWaKazi #SwahiliMovie #MovieMpya #MafunzoYaMaisha #TanzaniaMovies #Drama #mtotowaajabu #MamaWakambo # ClamVevo #biggboss #dontatv #bollywood #bintiyangu #ndoa #lovemeagain #dunia #kiparabrand #babajoan #kpwaaquino #babygirl #bhojpuri #baba #babyboy #babysuputv
ADVERTISEMENT
Mwenye amechekeshwa na leticia anipe like
Anayesoma Hii comment yangu Mungu Amubariki Sana 😢❤
Wanaomkubali leticia gonga like🎉❤🎉
Naomba hata like 3hata kama sijui kuandika
Nafukiria mimi ni wa kwanza. Ila naomba likes jameni
Aki Leticia jamani yua chekesha sana 😂😂
Respect Kwa dada wakazi
Ila letisia weh chizi qweiii😂😂😂😂
Wa sita Leo nimewai.naomba like ya ben🎉🎉🎉🎉
Yani dad wakazi hatali umetisha ayisee 🤣🤣🤣🤔🤔
Nawapenda sana mashabiki zangu ❤❤🎉
Ila dada wa kazi kwa mauno ni hatari 😂😂😂😂😂
Mimi ni mtanzania ila maisha yalinitupa uku Uganda ila siwezi kusahau nyumbani kila dakika nipo hapa ku support watu wetu kazi hipo tunawapenda sana Leticia nakupenda zaidi mdogo wangu
Heshima kwa Letisia
Wa kwanza Leo nipe likes watu wangu❤❤❤
Yani letisia kama Kuna siku umenifurahisha basi ni Leo 😂😂😂😂😂😂
Leticia malaika wa boss ❤
Dada wakaz ataki kushindwa na jambo lake😂😂😂
Napenda sana uu muvi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️❤️
Nimeipenda iyo letisia😂😂