NAKUJA EPISODE [ 36 ] FULL HD
ADVERTISEMENT
Comments 100
tracey_ramos:
Tunaopenda mtoto wa sara amsaidia mama ake like ap❤
More Like This
22:00
DUNIA SEASON 02 (Ep 49)
Entertainment
2.9k
0
3:01
The battle between pastor and switch doctor
Entertainment
819
0
0:19
The Most Dangerous Man in MobLand Has One Weakness | MobLand (2025)
Entertainment
32.7k
0
27:26
HON. PONKO AKABENEZER THE COMEBACK 😂😂😂😂😂
Entertainment
1.4k
0
0:25
Looks like a little bit of main character syndrome…
Entertainment
65.1k
0
0:11
Bro swears he's Einstein🧑🏫📕
Entertainment
51.9k
70
1:30
Awajanifanya chochote
Comedy
246
0
0:59
#foryou #dance #funny #shorts
Comedy
20.5k
100
You've reached the end
Tunaopenda mtoto wa sara amsaidia mama ake like ap❤
Walio kubali uigizaji wa aka katoto tujuane
Afu aka katabia ka kuangaliagaa movie uku nasoma comment ninako pekeangu au😂
Ichi kitoto kimemchezesha mtu mzima lede😂😂😂😂
Kama unaamini kazi ni nzuri weka LIKE HAPA
Katoto kapendeza jamani😂😂😂😂😂🎉 tumupee maua yake kanibamba daah❤,
Leo nimewayi jamani nipeni hata like 2 tu 🎉
Pongezi kwa mtoto acheni upumbavu🎉❤❤❤
ASANTE MUNGU KWAKUIONA HII SIKU NIWATAKIE JUMATATU ILIO NJEMA WATAFUTAJI WEZANGU🙏 NAKUJA IKO 🔥🔥🔥
Jamani leo mara yangu ya kwanza ku comment naomben like ❤
Asante MUNGU kwa kutuwezesha kuiona NAKUJA siku ya leo hakika MUNGU n mwema
Na mm nmewai jamani kutoka kenya c mnipee like jamani
Asalam alykum vp halizenu wapendwa wap like 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤ shangazi kayatimba😅😂😅😂😅😂
Sijawai pata ata like jamani na mimi leo naomba
Wali fulai mapombe nae kuachwa weka like apa 😂😂😂😂😂 Ww si ulituumizia Sandra wetu😂😂😂😂
Wa kwanza kutoka Tanzania naomba like zangu jamn
Km una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina 🎉❤🎉❤❤🎉❤🎉
Mimi nimewai Leo nawaombea wale wote walio fulai kuiyona jumatatu ya leo mungu akulinde sana popote ulipo
Pea mtoto wa nilo maua yake kma umpenda kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉
BINADAM WABAYA❤❤❤ NAKUJAAAAAAAAAAAA