NDOA [ EP 152] Love Story ππππ #pasarbrand #pasarfilms #love
ADVERTISEMENT
Comments 100
rebecca.jordan:
Tulio jua kiduchu kapigiwa na wakili wa Pasar aliyechukua nβ¦
More Like This
0:58
A Secret Mission Turns Into a Mayday Call | Mayday (2026) #shorts #movie
Film and Animation
29.0k
0
1:30:05
NANGUPAHANG DALAGANG ASWANG SA AMING BINISITANG BAYAN | Kwentong Aswang True Story
Film and Animation
18.1k
0
0:16
#sing
Film and Animation
0
100
22:00
DUNIA SEASON 02 (Ep 49)
Entertainment
2.9k
0
3:01
The battle between pastor and switch doctor
Entertainment
819
0
0:19
The Most Dangerous Man in MobLand Has One Weakness | MobLand (2025)
Entertainment
32.7k
0
27:26
HON. PONKO AKABENEZER THE COMEBACK πππππ
Entertainment
1.4k
68
0:25
Looks like a little bit of main character syndromeβ¦
Entertainment
65.1k
0
You've reached the end
Tulio jua kiduchu kapigiwa na wakili wa Pasar aliyechukua namba pale kwa wakala tujuane kwa like
Anaye penda kiduchu aolewe na pasar Wapi like
Wanaotizama wakiwa kitandani na kusoma comments gonga like πβ€β€
Team manyakenda na nzara gonga like hapaπ
Anaempenda Zara na manyakenda gonga like apa
Asanteni vipenzi kwa support yenu π
Team kiduchuu tusalimiane jameni β€πππ
Tunao angalia tukiwa tume tulia zetu kitandani bila shida tujuane apa jmn ππβ€β€
Mbna Tami Haonekan Tulio Mumic Tami Like Apa π
Toka nianze kufatilia hii move hadii leo cjawahii pata like hata mojaπ’
wangapi tunapenda part ya manyakenda, gonga like tujuane
πππππTUJIPE POLE TULIO KUWA MBELE YA MUDA tulio zani KIDUCHU alikuwa anaongea na *WAKILI WA PASAR* ππππππππ
Wapendwa familia ya YouTube Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwakuiona siku ya leo
Msaliti amesalitiwa πππ mchezo wa moto nayee kaunguaaaaaa martin na Muna wanafurahisha.
tunaompenda kipara β€tujuane kwa like hapa
Wangapi wanafuraiya part ya kiduchu n'a pasar ngoga like β€π
Ila mam pasar anapenda kujiamulia mambo wakati uyo Pasar anayajuwa yoteπππππ
Waooooooooh wapi like za pasali na kiduchuβ€β€β€ππππππππ
Nakupenda buree pasar unavokatetea kakiduchu ketu duuuuππ
Angalia movie kwanza unakimbilia wapi kwenye comments π