DUNIA SEASON 02 ( EP 46 )
ADVERTISEMENT
Comments 100
nermin.täsche:
Hii toka walivyo anzaga kumbadilisha matilda wa bandia na h…
More Like This
22:00
DUNIA SEASON 02 (Ep 49)
Entertainment
2.9k
0
3:01
The battle between pastor and switch doctor
Entertainment
819
0
0:19
The Most Dangerous Man in MobLand Has One Weakness | MobLand (2025)
Entertainment
32.7k
0
27:26
HON. PONKO AKABENEZER THE COMEBACK 😂😂😂😂😂
Entertainment
1.4k
68
0:25
Looks like a little bit of main character syndrome…
Entertainment
65.1k
0
0:11
Bro swears he's Einstein🧑🏫📕
Entertainment
51.9k
70
1:51
The supermarket date🤣 #explore #funny #bestcomedyskit #comedy #skit #couple #viral #prank #love
Comedy
12.0k
100
3:00
Quran Challenge: Tukutane kwenye comment
Entertainment
2.7k
100
You've reached the end
Hii toka walivyo anzaga kumbadilisha matilda wa bandia na hata yule kurudi na hata alivyo toka sijawahi ielewa hiii tamthilia tenaaa!!! Hawana mpangilio mzr kwakweli bora movie za Sandra zinaeleweka.
Jaman movie ni mja lakn inawashida Kuna watu Wana movie 4 mpaka 5 lakn movie zote zinatoka sasa nyinyi mnatuchosha kipande kimja ndan ya week nzima lakn bad mnakichanganya kama mmechoka waachie wenye uwezo bwana
Nashidwa kuelewa
Mnatuonaje Kwani 😢
Sina neno ✊🏾
Sema mnazingua ndo Nini sasa kutuharibia bando tu 😢
Nimewahi like zangu wakuu 😂❤🎉
Dunia saiz siielew Ata kidogo namkubali mmoja tu mzee wa finishing
Wa kwanza❤ leo
Tumeshawachoka bana mnaturudisha nyumaa
Majina mengi amerud😂😂😂 Mushzchok kumbe😅😅😅
Pumbavu zenu umbwa mimi mulianza vizuli lakini musha anza kuhalibu
dunia imekuwa mbay saiz hatari
Kumamayo jesca wew na familia yako
Oooh mbn mnatuchnganya jamani kuweni professional basi
Ndonin mim sitarud kuangaria dunia kwasabab munatuharibia band tu
Hvi hii mvi ya dunia mntuonaje au mzoea kma kuchka semen s tutulie n mengne hii bando ety tuntmia alaaaa
Wanaaz kucheza kam wa hindi wanakose bitu bya kucheza wacheze bitu bya kuinufanisha jamii
Kuwa.muzi mama😅😅😅😅😅
Wakwanz kutoka kesnya mdongo tozi