Kikosi cha Yanga kimewasili saa nane usiku, Septemba 2, 2026, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, kuanza safari kuelekea Botswana kwa ajili ya mechi ya kwanza hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu 2026/27 dhidi ya Gaborone United, itakayochezwa Septemba 5, 2026. Miongoni mwa viongozi walioambatana na kikosi hicho ni Makamu wa Rais wa Yanga, Arafat Haji, Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo, Andre Mtine pamoja na Ofisa Habari, Ali Kamwe. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
ADVERTISEMENT
Mungu wajalie Kila la kheri yanga bingwa
Nawatakia ushindi kwenye safari yenu
Tunawatakia safar nyema
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu awafanyie wepesi🙏🙏🙏 ktk safari ya mabigwa
Bon voyage WANANCHI
Makocha wangalie zaidi defence wacheze kwa uangalifu sana hizi mechi za kimataifa hazitakiwi kufanya makosa kila mchezaji awepo ktk sehemu yake Yao na Boka wambiwe hili..
Kwa uwezo wa Allah tunarudi na ushindi wa YANGA 2 kwa 1
Bonvoyage, my lovely team.
Mungu awatangulie mfike salama mungu huyohuyo atusaidie tupate ushindi mnono 🔰🔰💚
🎉🎉🎉🎉kila laheli wanajeshi wetu inshaallah tutashinda
Mungu awalinde katika safali yenu na mfike salama🙏
All the best wananchi
Ikawe heri kwetu wana Yanga 🎉🎉🎉🔰🔰
Mungu awatangulie.... mrudi na ushindi kwa Jina lipitalo majina yote YESU KRISTO. Tunawaamini na kuwaombea.
kila la kheri chama langu
Daima Mbele nyuma Mwiko ushindi ndiyo furaha yetu na ninaamini tutashinda 💯
Kila la heri wapambanaji