🔥 Karibu kwenye SAUTI YA MICHEZO TV 🔥 Hapa tunakuletea HABARI MOTO ZA MICHEZO, UCHAMBUZI WA KINA, MATOKEO YA MECHI, USAJILI MPYA, PAMOJA NA MATUKIO MAKUBWA YA SOKA TANZANIA NA DUNIANI. 📌 Tunazungumzia: Habari za Ligi Kuu Tanzania (NBC Premier League) Simba SC, Yanga SC, Azam FC na timu nyingine Usajili wa wachezaji na tetesi za usajili Ligi za Ulaya (EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga na Ligue 1) UEFA Champions League na CAF Champions League Matokeo ya mechi na ratiba Uchambuzi wa mechi na takwimu za wachezaji Breaking News za michezo Tanzania na duniani 🎥 Video zetu zinakuja kwa mtindo wa:UCHAMBUZI • HABARI ZA HARAKA • MATOKEO • USAJILI • HOJA NZITO ZA MICHEZO 👉 SUBSCRIBE sasa👉 LIKE 👍👉 COMMENT 💬👉 SHARE 🔁 🔔 Usikose habari muhimu za michezo kila siku kupitia SAUTI YA MICHEZO TV ⚽🌍 #NBCPremierLeague #LigiKuu #LigiKuuTanzania #TanzaniaFootball #SokaTanzania #Mpira #BongoSports #Football #FootballNews #MatchDay #simbanguvumoja #daimambelenyumamwiko
ADVERTISEMENT
YES YES kwa Upande wa Habari Yanga wameshika Bango... Angalia tokea Kuanzia Usajili mpaka kwenda Kutambulisha Wachezaji mpaka leo takriban ni mwezi wa 3 Yanga wanashikilia Nafasi ya juu kwa timu inayotizamwa saana Habari zake Tuwache Ushabiki... GOOD JOB NDANI YA MIEZI 3.❤❤
Tumeteseka sana acha tufurahi kwa sasa
Mimi wakati wa bakuli nilikuwa naumia sana wakati wasasa nafulaha yanga nikiboko yao
Pesa ziko bank masuali ya simba anayajibu Mo flana zilojaa matangazo yake lol😂😂😂😂😂😂😂😂
Shida simba yenu imejaa wazee wengi mno, yanga bingwa😂😂
Dunia imejua🌏wasemaji wayanga wamekua ni wengi😂😂😂
Yqn mwaka huu simba kila mtu atanchanganyikiwa kwa wakat wake 😂😂😂😂 yanga bingwa
HILI JAMBO LINGEFANYWA NA MIKIA FC BASI MACHAWA WAO AKINA DULLA KUPITILIZA
Mc home hii ndoo yanga mzee
❤Yanga 🎉 Yanga kubwa❤ Yanga Bingwa🎉
Dunia itajua🎉
Hii ndo yanga🎉🎉🎉🎉🎉
Pesa iko benki mko wapi yanga bingwaaaaa mwakani tenaaaa 😂😂😂😂😂🎉💚💛💚💛💃
mchome come back ya hii ni simba kubandua nembo na kubandika nembo
ahimedi ali unasemaje hapo nakushauli ili umshinde alikamwe luditena selenget kawafunge tena simba wajewatangaze jezizenu naziwe naubola kama hizi vp utaweza
❤❤
Sasa si uvue hiyo blauzi uvae jezi 😂😂😂
Kama hutaki kuwa mwehu suvae jezi ya yanga ww ashana na simba simba ninoma ndomana munakuwa mashawa wayanga munatumwa kuiharibu simba ila hamutaweza kamwe mashawa vua jezi ya simba ww mchome ww yanga chawa
JAY ROTTY NAE KUMBE NI KIMEO
Rejea 2020 Jelard Pikky