Msafara wa Simba SC umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, leo Septemba 4, 2026, saa 11 alfajiri ukielekea Malawi kwa ajili ya mechi ya raundi ya kwanza ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mighty Wanderers FC. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Septemba 6, 2026, Malawi. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj
ADVERTISEMENT
Mwenyezi mungu awatangulie! Na awape Afya njema awaondolee na uchovu wote mcheze mkiwa majasiri na mashujaa!msiogope malawi ni kwetu!
Mungu asimie wanakeshi wetu simba nguvu moja
MUNGU Awaongoze mfike salam kwa uweza wa loho mtakatif Ameen
Kila la kheri mungu awe nanyi mfike salama ❤❤
Mungu awatangulie mashujaa wetu
Mfike salama mkarudi na ushindi
Simba tuna shinda2 kwa moja1
Simba Bingwa mwaka huu
Naimani Dumbia atafunga
Mungu awe upande wenu wachezaji wetu pamoja na mashabiki zetu mlienda huko kwa ujumla mpate ushindi mnono mungu awekimbilio lenu
Kila la kheir wapambanaji muende salama mrejee Salama In shaa ALLAH.
🙏🙏🙏
EEE MUNGU WANGU BARIKI TIMU YETO YA SIMBA WAPE UMOJA USHILIKIANO AMEN🙌
wasiwe na hofu mungu ako pamoja nanyi
🎉🎉🎉
streaker la boll yupo
naitwa noel simba nguvu moja
Eriza mbovu mno jamani
Tafadhali tafadhali usifanye kosa hili kubwa usife bila kumpa Bwana Yesu maisha yako