GB 64 AIBUKIA KAULI YA CHAMA KUTIMKIA YANGA, SIMBA vs MIGHTY WONDERERS
Simba
ADVERTISEMENT
Comments 48
beth.cisneros:
Kichwa cha Habari hakiendani na Habari yenyewe
More Like This
11:34
FULL TIME HOT TAKES | SOUTH AFRICA vs NEW ZEALAND | GREATEST RIVALRY 3rd TEST
Sports
8.2k
0
0:17
LIVE🔴ALICHOKIFANYA SELEMANI MWALIMU KABLA YA MECHI KUANZA #yangasc #yangatv #usajiliyangaleo
Sports
1.5k
13
2:55:09
🚨LIVE: GABAORONE UNITED VS YANGA SC KIVUMBI LIGI YA MABINGWA BARANI AFRIKA
Sports
105
0
15:40
UWANJA MBOVU! FULL UCHAWI! ILATUKUTANE CHAMAZI! SELE KAMA GOMEZ! WACHAWI HI!....
Sports
188
28
13:33
UCHAMBUZI MKALABOKO | GABORONE KAISHA YANGA ATACHEZA KAMA TAMBIKO
Sports
103
11
2:55
Gaborone Vs Yanga 1-1 Magoli Yote Ligi Ya Mabingwa Afrika 2026/2027
Sports
137
22
4:48
#LIVE YANGA SC VS GABORONE UNITED LEO ( 1 - 1 )
Sports
0
0
0:15
YANGA SC VS GABORONE (1-1) CAF CHAMPION LEAGUE Live
Sports
168
0
You've reached the end
Kichwa cha Habari hakiendani na Habari yenyewe
Huyu jamaa ni comedian, hamna kitu cha maana anachozungumza😂😂😂😂
Ongea kiswahili kingereza hujui
Wanao kuhoji nao hawana wa kuwahoji
Muone aibu mmepewa timu ilyocheza na azm baada ya siku 2 mkapewa simba kusudi mshinde
GB Unajivunia kuwezeshwa na Mr Gerad wa USA. Tena kakuwezesha cheni na hela ya kujikimu mhh, uchunguzwe kaka. Haya maisha sio poa pambana mwenyewe broo...
Simba Bingwa NBC mwaka huu
Nimependa kauli moja kutoka kwa huyu mjinga kasema wanasimba uelewa wao ni mdogo😂😂😂
Simba Bingwa NBC mwaka huu
Hueleweki mara Gaborone wazuri mara wabovu tubaki na lipi?
Nsingizini sio, red arrows si timu za Malawi.Umeonja Nini Leo?
Mm hua nawashangaa Sana hiv hamna kumbukumbu kua yanga ndo inaongoza kwa kushinda njee
Sijui kama unajielewa unacho ongea
Unapelekwa na yanga😂😂
Gb64 marekebisho Gaborone haiko Eswatini bwana mbn unatupiga kamba bro Gaborone c iko Botswana looooh kwel aibu utaona ww😅😅😅
YANGA 4-0
Kiingereza hajui huyu jamaa
Wenzako wako malawi wewe mnandi, mchungaji hamjaenda ko mangungu jalibu tena na jayruty wameshindwa kukulipia laki2 du mikelele yote umekosa kwenda malawi
Peter Banda babake arikufa mda sana babake yupi tena huyo hata peter Banda mwenyewe hamjui babake arikufa by the time he was young stop lying
wee ni chawa unafahamika