Hamtutoi kwenye mfumo tusiongelee fabrizo 😅😅😅 Ila bro tamaa zilikuponza usitafute uruma hapo shame on you na huyo mshangaz apo😮😮
caitlin_macdonald1 day, 6 hours ago
Huyu mtu tusimlaumu kwani tulidelay kumpa mkataba.Tuna tatizo Hilo sisi Wana Simba, mpaka inafika mahali mchezaji anasaini club asiyopenda.wapo wengine watasema.
J
jonathan.hill1 day, 3 hours ago
HUYU MZEE MTABAKI NAE HAPO SIMBA MPAKA MUMFUKUZE😂😂😂😂 KANGWANDAAAAAAAAAAAA
ekani_goswami20 hours, 27 minutes ago
CHAMA HAWEZI KUPATA NFASI YA KUCHEZA kiurahisi pale Yanga YANGA ni tiny kubwa ni sawaa na kiatu kisichokutosha.. Umefanya vizuri kujipendekeza Safi Sana CHAMA.
N
nermin.täsche1 day, 4 hours ago
Unataka kumaliza vibaya
J
jeremy.mcintyre1 day, 3 hours ago
mchezaji hana timu ana uwezo wa kufanya kazi popote kikubwa wanaangalia maslahi
lakshmiatlas431 day, 6 hours ago
Daah kweli miaka ni namba tu 😂😂
L
luce.antoine1 day, 4 hours ago
Utapata unachokitska kwa heris simooooo
C
christopher_thompson1 day, 6 hours ago
Chama umejidharirisha sana Bora ungekaa kimya yaani umrii huo ni wakudanganywa we si mzeee kabisa,umewagawa mashabiki zako
michelle_bryan1 day, 4 hours ago
Kumbe chama hana ukubwa wowote mi nilitegemea utajibu kama mchezaji mkubwa lakini unajibu kama harmonize anavyohojiwa kuhusu diamondi unajua haya maisha hupaswi kusema kila jambo baya lililokukuta kwa mfano unaonyesha kuwa hata siku moja ukitoka simba utawasema kila kitu kilichotokea hatuishi hivyo
K
kamilly_sousa1 day ago
Yanga bingwaaa
charansarna1171 day, 3 hours ago
Anae hojiwa chizi anae hoji chizi
advika_tara1 day, 3 hours ago
Mchango wako katika TEAM na ndani ya nchi unatambulika kila la KHERI MWAMBA wa LUSAKA (C³)
kerry_nicholson1 day, 7 hours ago
Kumbe hili lofa jamani yaani umri huo wewe unaweza kulazimishwa 😂😂 kule yanga huwezi Pata namba wewe
L
lucieadam1918 hours, 46 minutes ago
Unauwakika hujawai kulazimishwa fitu fingine kweli😢 mana kumbe ww ukilazimishwa una dooooooo
C
cynthia.costa1 day ago
Usitengeneze maadui bila sababu wewe vheza mpira ustaafu urudi Zambia eti ulilazimishwa
R
rebeccareynolds8951 day, 4 hours ago
Inawezekana hajasema yote. Akiendelea kuhojiwa ataweka wazi yote. Mkweli Mpenzi wa Mungu
C
crystal.johnson19 hours, 20 minutes ago
Chama, Chama, Chama. Umezingua sana. Umenichosha kabisa. Nilikuwa na kukubali ila sasa ....
R
robertvaleon361 day, 4 hours ago
Uyu nae kama mwana siasa😅😅😅😅
W
william_grant1 day, 2 hours ago
Ukweli. Unauma Pia iko waxi Injinia ni.mtu hatari. Nikifikiria k sulema nawwZ😊