Selemani Mwalimu ameinusuru Yanga na kichapo kwa kusawazisha goli dakika za majeruhi dhid ya Gaborone United, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa kwenye Dimba la Taifa la Botswana, Jijini Gaborone. Yanga walitanguliwa kwa goli la free kick lililofungwa na Obry Amseb dakika ya 33. Hii ni mechi ya mkondo wa kwanza, raundi ya awali CAF Champions League.
ADVERTISEMENT
Yesu Ndiye njia ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI (Yohana14:6 Warumi10: 9-10)
Yanga🎉🎉🎉 mi msanii jaman natafta sapot kimziki utaenjoy mziki mzuri:
Wasinge himili kwa ule moto tunao kwa mkapa halo Haiishi had iishe
Alhmdulillah🙏🤲 sele asante kwa kutuheshimisha leo bdo kidgo tu tudhalilishwe sisi🙌
Wanafugwa Gaborone ila wanaozimia ni wale wanyonya damu😂😂😂😂
Tupambane kujtafuta ufalme wa mbinguni kwani haya mengine ni ni mambo ya duniani TU wapendwa wa bwana!!
mganga wa gaborone tapeli sanaaa daah mimi nilitaka kushangaa mbona max na wachezaji kibao hawapo kwenye form kumbe watu wamejaza madawa uwanja mzima hiyo free kick sio ya kumfunga diarra
Uwanja mbovu sana. Ngojea waje uwanja wa Azam complex au Amani complex hawatoki chini ya goli 3. Yanga Bingwa 🏆
Leo nimekaa banda umiza namtetea Mudathir mbele ya watanzania wenzake wanao muona hafai, hii assist ilinifanya nijiskie vizuri sana.
Ninefurahia hili goli Kwa machozi. Yanga bingwa
SELEMAAAAANI NI MWALIMU MZURI SANAAA KWA YANGA BINGWAAA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mudathir mungu anakuona unajua sana
Yan refa kipa anapotez muda zaid y mala tatu na hana kadi kwel refa duh😂😂
Mambo yakosawa wacha wakuje uku kwetu tutawashona nyigi
Hongera yanga 💚💚💛💛✅✅
Karibu tz huku lazima muache ndala
Tunawasubiri huku pale azam hatoki mtu huyu kipa alitusumbua sana, mara alale mara vile mara hivi mwisho kaachia, Asanteni YANGA
Mudath ni hatar sana
Leo nmechaniwa mkeka nilimpa yanga ashinde nikabeti hadi hela ya kula moyo umeniua sana, lakin nilipokumbuka kuwa yesu anavonipenda kufa kwa ajili yangu ananipendaa sawa nmekosa Sina lakin kikubwa zaidi ya yote YESU ANANIPENDA TENA ANANIJALI UPENDO WAKE WOTE WANIZUNGUKA
Azam leo mmetuboa kishenz munaonesha mpira kama vile mipira ya bonaza hatujapenda ata kidogo hamukujipanga kuela camera za kuchukua matukio