Hivi hawa Morocco si ndio tuliwakosakosa Afcon iliyopita hadi tukanyimwa penalty kupitia Iddy Nado!
A
amanda.knight3 weeks, 3 days ago
kiukweli ni aibu kwenye kalenda ya fifa kucheza mechi ya kirafiki na club ni bora timu irudi nyumbani
M
megan_miller3 weeks, 3 days ago
Mimi nimemuelewa Rais wa TFF hii mechi ni ya mwalimu amehitaji kwa ajili ya mambo yake ya kiufundi tu ni kama vile Yanaga na Simba huwa wanakuwa na mechi za aina hii ili mwalimu apime mifumo yake na hua wanacheza na timu ndogo
gerolfechoing173 weeks, 3 days ago
Hamjamuuliza Ndimbo mchezo wa Taifa stars na Ghana ulikwamishwa na nini?